Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Noeli
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 5,999 | Umetazamwa mara 11,774
Download Nota Download MidiNeno alifanyika mwili nasi tukauona utukufu wake x2
1. Utukufu wake aliye mwana wa pekee wa Baba amejaa neema na ukweli
2. Pande zote za dunia zimeuona wokovu wake nasi twende tukamwone