Ingia / Jisajili

Rarueni Mioyo

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 133 | Umetazamwa mara 567

Download Nota
Maneno ya wimbo
  •                                 RARUENI MIOYO
  •                                                                                         Valentine Ndege
  •                                                                             Chuo cha nyuki-Tabora
  •                                                                                                 25/03/2015

Kiitikio:

Rarueni Mioyo yenu, wala si mavazi yenu x2

Mashairi:

  • 1.Kwa kufunga na kusali kwa bidii, rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu.
  • 2.Tubuni dhambi na kumrudia Mungu, rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu.
  • 3.Kwa kujinyima na kusaidia Maskini, rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu.

  •       "Bwana Uniongezee maarifa na ujasiri mimi niliye mdogo"-Valentine Ndege


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa