Ingia / Jisajili

Roho za waamini

Mtunzi: Edward D. Challe
> Mfahamu Zaidi Edward D. Challe
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward D. Challe

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: Edward Challe

Umepakuliwa mara 1,188 | Umetazamwa mara 3,519

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio. Roho za waamini marehemu zipate rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani. shairi. 1. Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie. 2. Ee Bwana warehemu, uwajalie raha. 3.Wewe unaye sikiliza sala,Kila mwanadamu aje kwako. AMINA.

Maoni - Toa Maoni

Musa Maro bebe Oct 31, 2024
Naombi la kutuhimiza wanandoa juu ya kuishi kwa kumtambua na kumweshimu mwenyezi mungu

Toa Maoni yako hapa