Ingia / Jisajili

Sadaka Yako Iwe Kwa Siri

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 56 | Umetazamwa mara 93

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sadaka yako iwe kwa siri na Baba yako aonaye aonaye sirini atakujazi X2

1. Basi wewe utoapo sadaka usipige panda mbele yako kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani ili watukuzwe na watu

2. Bali wewe utoapo sadaka hata mkono mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo usijue ufanyalo mkono wako wa kuume

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa