Ingia / Jisajili

Aulaye Mwili Wangu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 100 | Umetazamwa mara 170

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 21 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 21 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 21 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima anao uzima wa milele nami nitamfufua siku ya mwisho asema Bwana X2

1. Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli na damu yangu ni kinywaji ni kinywaji cha kweli

2. Aulaye mwili na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa