Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 2,427 | Umetazamwa mara 5,184
Download Nota Download MidiSadaka yangu naileta (naileta) mbele yako Baba uipokee X2
Japo ni kidogo ipokee Baba kwani uwezo wangu Bwana wewe waujua X2
1. Tulivyonavyo vyote ni mali yake inatupasa tumtolee Mungu
2. Jiwekee hazina yako mbinguni ambapo nondo wala kutu havipo
3. Viuzeni mlivyonavyo mkatoe kwa Bwana Mungu mtakirimiwa
4.Toa kwa moyo Bwana anakuona ulipotoa utazidishiwa