Ingia / Jisajili

Mungu Ni Upendo

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ndoa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 574 | Umetazamwa mara 1,856

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 10 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 10 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 10 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Mungu ni upendo) Mungu ni upendo X2

Naye akaaye katika pendo hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake X2

1. Nasi tumelifahamu pendo alilonalo Mungu kwetu sisi na kuliamini na kuliamini

2. Tukipendana sisi Mungu hukaa hukaa ndani yetu nalo pendo lake limekamilika ndani yetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa