Ingia / Jisajili

WAIPELEKA ROHO YAKO

Mtunzi: Frederick Ajali
> Mfahamu Zaidi Frederick Ajali
> Tazama Nyimbo nyingine za Frederick Ajali

Makundi Nyimbo: Pentekoste | Zaburi

Umepakiwa na: Fredrick Ajali

Umepakuliwa mara 102 | Umetazamwa mara 685

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Pentekoste

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Waipeleka roho yako, Ee Bwana, nawe waufanya upya uso wa nchi.

  1. Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, wewe Bwana Mungu wangu, umejifanya mkuu sana Ee Bwana, jinsi yalivyo mengi matendo yako. Dunia imejaa mali yako.
  2. Waiondoa pumzi yao, wanakufa, na kuyarudia mavumbi yao, waipeleka roho yako wanaumbwa, nawe waufanya upya uso wa nchi.
  3. Utukufu wake Bwana na udumu milele, Bwana na ayafurahie matendo yake, kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake, mimi nitamfurahia Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa