Ingia / Jisajili

Christian Brothers Africa Mashariki

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Anthem

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 398 | Umetazamwa mara 1,060

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
This is a song for the Christian Brothers, for the work they are doing in East Africa. Huu wimbo twaimbia Mabruda, Kwa kasi zao njema Africa Mashariki 1. Mabruda walioko Nairobi - kwa kazi zao njema Africa Mashariki Mabruda walioko Eldoreti - Kwa kazi yao njema Afrika mashariki 2. Mabruda Walioko Tanzania - Mabruda wale wa Sudan Kusini - 3. Mwenyezi Mungu Baba awalinde - Awape ujasiri na hekima

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa