Ingia / Jisajili

Sala Yangu Ipae Mbele Yako~I

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Richard Samson

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 12

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sala yangu na ipae, ipae mbele yako, kama moshi moshi wa ubani x2.

(Na kuinuliwa nakuinuliwa kwa mikono yako)x2

1. Uwe radhi kuipokea sadaka yetu, ifae mbele mbele yako, kama moshi wa ubani, iwe kama sadaka ya mtumishi wako Abeli

2. Ee Bwana uipokee dhabihu yetu, tunayokutolea kutoka mashambani, ifae mbele yako iwe kama sadaka ya mtumishi wako Abeli

3. Ee Bwana upokee pia nia zetu, tunazokutolea kwa mioyo yetu, zikufikie Ee Mungu, ziwe kama sala ya mtumishi wako Abeli.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa