Ingia / Jisajili

SALAMU MARIA

Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Emil Mwemezi

Umepakuliwa mara 363 | Umetazamwa mara 1,871

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Salamu (Mama) Maria umejaa ne'ma, Bwana yu na-we, umebarikiwa ×2
Utuombee kwa Bwana Yesu, atusame-he dha-mbi zetu ×2
  1. Mama wa Mungu, Mama wa Yesu, we-we ndiwe kimbilio letu, wewe ndiwe msaada wetu.
  2. Mama wa Mungu, Mama wa Yesu, uzipeleke shida zetu zote, kwa mwanao Bwana wetu Yesu.
  3. Uziongoze, akili zetu, ziyafafanue mema na mabaya, tuepuke kutenda dhambi.
  4. Tunakusihi, uidumishe, amani yetu hapa Tanzania, kwani ndiwe mwombezi wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa