Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 767 | Umetazamwa mara 2,266
Download Nota Download MidiTU WATU WAKE NA KONDOO
KIITIKIO:Tu watu tu watu wake na kondoo na kondoo wa mkono wake aleluya x 2.
MASHAIRI:
1.Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote, mtumikieni Bwana kwa furaha, njoni mbele zake kwa kuimba.
2.Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu ndiye, aliyetuumba na sisi tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
3.Kwa kuwa Bwana Bwana ndiye mwema, rehema zake ni za milele, na uaminifu wake vizazi na vizazi.