Ingia / Jisajili

Sauti ya Baba ilitoka katika wingu jeupe

Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Michael Nkana

Umepakuliwa mara 577 | Umetazamwa mara 1,590

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

//:Sauti ya Baba ilitoka

sauti ya baba ilitoka katika wingu jeupe://

//:huyu ni mwanangu mpendwa wangu msikieni yeye://


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa