Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 717 | Umetazamwa mara 2,751
Download Nota Download MidiKiitikio
Amini amini nawaambieni msipokula mwili wake mwana wa Adamu na kuinywa damu yake hamna uzima ndani yenu.
Mashairi
1. Aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele nami nitamfufua siku ya mwisho asema Bwana.
2. Kwa maana mwili wangu ni chakula kweli na damu yangu ni kinywaji kweli, Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake