Ingia / Jisajili

Sikiliza Ni Mpendwa Wangu

Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: DANIEL NSUBILE

Umepakuliwa mara 3,534 | Umetazamwa mara 9,279

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sikiliza ni mpendwa wangu, ni mpendwa wangu tazama nakuja; akiruka ruka milimani, akichacharuka milimani, Mpendwa wangu ni kama paa ni kama ayala tazama nakuja. 
2.Tazama tazama asimama  asimama nyuma ya ukuta wetu; achungulia dirishani 
atazama kilimani anakuja; Akiruruka..........
3.Mpendwa wangu aliinena yeye   alinena akaniambia; ondoka ewe mpenzi wangu
 ewe mzuri wangu ili uje zako; Akirukaruka....................
4.Nitazame nitazame uso wako niisikie sauti yako; maana sauti yako tamu ni tamu 
na uso wako ni mzuri; Akirukaruka.....................
5.Mpendwa wangu kweli ni wangu hakika ni wangu na mimi ni wake; Mpendwa 
wangu hulisha kundi hulisha kundi lake kwenye nyinyoro; Akirukaruka.....................

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa