Ingia / Jisajili

Nuru huwazukia

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 742 | Umetazamwa mara 1,878

Download Nota
Maneno ya wimbo

Nuru huwazukia wenye adili gizani x2 Nuru huwazukia wenye adili gizan, nuru huwazukia huwazukia wenye adili gizani x4.

  • 1.Heri atendaye fadhili nakukopesha atengenezaye mambo yake kwa haki anafadhili, huruma na haki.
  • 2.Kwa maana hataondoshwa kamwe, mwenye haki atakumbukwa milele, hataogopa habari mbaya moyo wake u imara, ukimtumaini Bwana.
  • 3.Moyo wake umethibitika, hataogopa hata awaone watesi wake wameshindwa.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa