Mtunzi: C. Mzena
> Tazama Nyimbo nyingine za C. Mzena
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 860 | Umetazamwa mara 3,151
Download Nota Download MidiSimoni Petro ninakuuliza kama wa nipenda ndiyo Bwana ninakupenda ninakuuliza kama wa nipenda, Simoni Petro chunga kondoo wangu
Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, nguvu za kuzimu pamojana za shetani hazitaweza kuangamiza x 2.
Mashairi;
1 (a) Ni Yesu mwenyewe aliyatamka hayo
(b) Mbele ya mitume akimuambia Petro, aliongoze kanisa lake.
2 (a) Petro na mitume hivi sasa ndiyo nani
(b) Baba Mtakatifu--Maaskofu na Mapadre, ndiyo mahalifa wa mitume.
3 (a) Kanisa ni moja wala haligawanyiki
(b) Tena katoliki maana yake ni la wote limeenea dunia nzima.