Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 847 | Umetazamwa mara 3,167
Download Nota Download MidiNiruhusu Yesu wangu nikupokee, ukae ndani yangu nami ndani yako X2
Uje kwa-ngu mwokozi wangu (kwani we) wewe ni tabibu wa roho yangu X2
1. Mwili wako Yesu ni chakula cha kweli, nilishe Bwana nipate nguvu.
2. Damu yako Yesu ni kinga yangu kweli, nikinge na kiu nipate nguvu.
3. Umo ndani ya maumbo ya Ekaristi, twakuabudu Yesu mi-lele.