Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 452 | Umetazamwa mara 1,753
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 19 Mwaka C
Heri taifa (heri) he-ri taifa ambalo Bwana ni Mungu, ni Mungu wao X2
Mpigieni Bwana vigelegele enyi wenye haki, kusifu kunawapasa wanyo-fu wa moyo, heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu waliomchagua kuwa urithi wake.
Tazama jicho la Bwana li kwa-o wamchao, wa-zingoje-ao fadhi-li- zake yeye huwaponya nafsi zao na mauti, na kuwahuisha wakati wa-- njaa.
Nafsi zetu zinamngoja zi-namngoja Bwana, yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu, Ee Bwana fadhili za-ko zi-kae nasi, kama vile tuli-vyokungo-ja- wewe.