Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Epifania | Mwanzo
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 1,345 | Umetazamwa mara 3,475
Download Nota Download MidiTazama anakuja mtawala BwanaX2 Mwenye ufalme mikononi mwake na uweza na enziX2
1:Uweza wa kifalme utakuwa mabegani mwake naye ataitwa mshauri wa ajabu.
2:Tumeiona nyota mashariki nasi tumekuja kumsujudia mtoto Yesu kwa furaha.
3:Wakristu tufurahi tumepewa mtoto mwanamme tumshangilie mtoto Yesu kazaliwa