Ingia / Jisajili

Tazama Jicho La Bwana

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 38 | Umetazamwa mara 57

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 29 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 29 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 29 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao, wazingojeao fadhili zake Yeye huwaponya nafsi zao na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa