Ingia / Jisajili

Yesu Wangu Mpenzi

Mtunzi: Peter Makolo
> Mfahamu Zaidi Peter Makolo
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Makolo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 690 | Umetazamwa mara 2,658

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Yesu wangu mpenzi karibu moyoni mwangu, uishi nami daima ndani ya roho yangu. x 2
Kaa na roho yangu, uitulize nafsi yangu, isihangaike na tamaa za ulimwengu x 2

 1. Mbali na wewe Yesu mimi si kitu,
  (ninakuomba Yesu uwe na mimi) x 2
   
 2. Ukiniacha Yesu nitapotea, 
  (ninakuomba Yesu uwe na mimi) x 2
   
 3. Tuliza nafsi yangu kwa Pendo lako,
  (ninakuomba Yesu uwe na mimi) x 2
   
 4. Niishi nawe Yesu maisha yote, 
  (ninakuomba Yesu uwe na mimi) x 2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa