Ingia / Jisajili

Tujongee Meza Ya Bwana

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 470 | Umetazamwa mara 1,111

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
( TUJONGEE MEZA YA BWANA TUKASHIRIKI KULA MWILI WA BWANA YESU NA KUNYWA DAMU YAKE. X2(HAYA TWENDENI NDUGU TWENDENI TUKALE MWILI WAKE.NAKUNYWA DAMU YAKE x2(1) Twende ndugu waamini mezani kwa Bwana anatuarika Twende tupate uzima.(2)Bwana yesu a-sema Mimi ndimi chakula aulaye mwili wangu hata ona njaa.(3)Bwana yesu ni mganga pia Wawa ganga wote TWENDENI tuponywe magonjwa magonjwa yetu yote.(4).Nani Kama Bwana yesu awezae kualika.watu wengi wakala na kusaza ni Bwana Pekd yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa