Ingia / Jisajili

Mti Mzuri

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 88 | Umetazamwa mara 164

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mti mzuri (mti mzuri) mti mzuri misumari (mti) mzigo mzuri wachukua X2

1. Ee Msalaba mwaminifu, mti ulio na heshima kuliko miti yote

2. Hamna mwituni utoao ua, jani na tunda kama wewe

3. Wewe ni safina iliyopakwa damu, aliyoimwaga Mwanakondoo wa Mungu

4. Kristo kafara yetu, pweke aning'inia

5. Uzima umerejeshwa, kwa kuutoa uhai

6. Vita imekwisha, ushindi tayari

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa