Ingia / Jisajili

Amin, Amin, Nawaambia

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 78 | Umetazamwa mara 137

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Amin, amin, nawaambia chembe ya ngano isipoanguka katika nchi ikafa hukaa hali hiyo hiyo peke yake bali ikifa hutoa mazao yake X2

1. Yeye aipendaye nafsi yake ataiangamiza yeye aichukiaye nafsi yake katika ulimwengu huu ataisalimisha hata uzima uzima wa milele

2. Mtu akinitumikia na anifuate nami nilipo ndipo na mtumishi wangu atakapokuwapo tena mtu akinitumikia Baba atamheshimu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa