Ingia / Jisajili

Tumezitafakari Fadhili Zako

Mtunzi: Faustine J. Mtegeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustine J. Mtegeta

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,056 | Umetazamwa mara 7,334

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tumezitafakari fadhili zako ee Bwana x 2
Katikati ya hekalu lako katikati ya hekalu lako ya hekalu lako ya hekalu lako takatifu x 2

  1. Kama tulivyosikia ee Bwana ee Bwana, ndivyo tulivyoona utukufu wako mkuu.
     
  2. Kama lilivyo jina lako ee Bwana ee Bwana, ndivyo na sifa zako hata miisho ya dunia.
     
  3. Mkono wako wa kuume wa Bwana Bwana, mkono wa kuume umetutendea haki.

Maoni - Toa Maoni

Irene shayo Sep 16, 2018
Naipongeza hii nyimbo ni nzuri sana naipenda

Poi Mkwalakwala Jul 10, 2016
Nimoja ya nyimbo zinazonibariki sana.... Hongera sanaaaaaa..... Mungu akubariki mtegeta

Toa Maoni yako hapa