Ingia / Jisajili

Tunakuomba Upokee Vipaji Vyetu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 164 | Umetazamwa mara 499

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunakuomba (Bwana) upokee vipaji vipaji vyetu tunavyokutolea X2

Tunaleta kwako ni mavuno yetu tunakuomba Bwana upokee vipaji vyetu X2

1. Mkate na divai ni mazao ya nchi tunavileta kwako uvipokee

2. Ni kazi ya mikono yetu sisi wanao uvibariki Bwana uvitakase

3. Pia na sala zetu tunazileta kwako hata na nafsi zetu uzipokee

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa