Ingia / Jisajili

Tumezitafakari Fadhili Zako No.2

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 401 | Umetazamwa mara 787

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 14 Mwaka C
- Mwanzo Kutolewa Bwana Hekaluni

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tumezitafakari fadhili zako Ee Mungu tumezitafakari fadhili zako Ee Mungu X2

Katikati ya hekalu lako katikati ya hekalu lako kama lilivyo jina lako Ee Mungu ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia X2

1. Mkono wako wa kuume umejaa haki na ufurahi mlima Sayuni binti za Yuda na washangilie kwa sababu ya hukumu zako

2. Kama tulivyosikia ndivyo tulivyoona katika mji wa Bwana wa majeshi mji wa Mungu wetu Mungu ataufanyabimara hata milele

3. Kwa maana ndivyo alivyo Mungu Mungu wetu Mungu wetu milele na milele yeye ndiye atakayetuongoza

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa