Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 9,810 | Umetazamwa mara 18,860
Download Nota Download MidiP.F.MWARABU
Tunakushukuru mama Maria kwa neema unazotuombea,
Asante mama wa Yesu uliye na huruma, uzidi kutuombea mpaka saa ya kufa.
1. Mama wa Yesu mama mfariji wetu, asante sana kwa kutusimamia.
2. Maombezi yako yatutia nguvu, asante mama Maria mtakatifu.
3. Tuna furaha tuna matumaini , kwakua tunawe mama wa huruma.
4. Mama wa Yesu ewe mama Maria, tusaidie tushinde vishawishi.
5. Katika uwingu ndiwe mbarikiwa, katika maisha ndiwe kinga yetu.