Ingia / Jisajili

SALAMU MARIA

Mtunzi: Stephen Wambua Mutua
> Mfahamu Zaidi Stephen Wambua Mutua
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Wambua Mutua

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Stephen Wambua Mutua

Umepakuliwa mara 285 | Umetazamwa mara 1,141

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SALAMU MARIA (Key F) Chorus Salamu Maria salamu Maria Umebarikiwa na Bwana yu nawe 1. Uliye mzaa Mwana Mkombozi wa dunia, Bikira Mtakatifu Mzazi wa Mungu 2. Bikira Mtakatifu Mkuu wa mabikira, Mama wake Kristu neema ya Mungu 3. Mama Mtakatifu sana, mwenye moyo safi, Mama mwenye ubikira, usiye na dhambi 4. Bikira mwenye heshima, na mwenye sifa, Bikira mwaminifu, kioo cha haki 5. Chombo cha neema, chombo cha heshima, nyumba ya dhahabu, mnara wa Daudi 6. Nyota ya asubuhi, afya ya wagonjwa, Malkia wa malaika, na wa mitume

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa