Ingia / Jisajili

NJOONI ENYI WAKRISTU

Mtunzi: Stephen Wambua Mutua
> Mfahamu Zaidi Stephen Wambua Mutua
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Wambua Mutua

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Stephen Wambua Mutua

Umepakuliwa mara 233 | Umetazamwa mara 925

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NJOONI WAKRISTU (19.4.2010) Key A Chorus All: Njooni njooni enyi wakristu njooni njooni [(S/A, enyi wakristu ) ALL njooni njooni tumpe Bwana shukrani zetu ]x2 All: Tumpe Bwana furaha yetu, amani yetu, zawadi zetu, sadaka zetu. 1. Wiki zima ee mwenzangu Bwana amekulinda vyema fikiria ndugu yangu utampa nini Bwana wako 2. Fedha zetu ee Baba tunazileta mbele yako ni zawadi Bwana wetu ili wewe utubariki 3. Na mazao ya mashamba twayaleta mbele yako na mifugo ee Baba ni kazi ya mikono yetu 4. Tunaleta divai Baba nayo uipoke mikononi mwetu Baba tuna beba mkate pia 5. Na sadaka ya Abeli Ibrahimu ulipokea tunaomba Baba mwema yetu pia uipoke 6. Nasi pia twaomba Baba yetu utupokee tubariki ingawa Bwana sisi tuwakosefu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa