Ingia / Jisajili

Tunawatakia Maisha Mema

Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tunawatakia maisha mema yenye baraka tele (ndugu zetu) kuishi katika pendo lake takatifu x2  maisha yenu yadumu katika sala na ibada, dumisheni upendo kati yenu na Mungu awabariki x2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa