Ingia / Jisajili

Tupeleke Vipaji Vyetu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 18,886 | Umetazamwa mara 26,560

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tupeleke vipaji vyetu tukamtolee Bwana (pia) pia na nafsi zetu, tukamtolee Bwana ili azibarikie x 2

  1. Mali zetu zote tumpelekee Bwana, tunamuomba azitakase ziwe safi sana.
     
  2. Kazi ya mikono yetu tunamtolea Bwana, ili iwe shukrani kwake Mungu muumba wetu.
     
  3. Yeye ndiye muumba na anatupenda sisi, wajibu wetu siku zote tumtumikie.

Maoni - Toa Maoni

Clemence Silichachi Jul 19, 2024
Nyimbo zako zuriiii

Toa Maoni yako hapa