Ingia / Jisajili

Ufalme Wa Mbinguni Umefanana Na Chachu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 22

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyoitwaa mwanamke akaisitiri akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga hata ukachachwa wote ukachachwa wote pia X2

1. Yesu aliwaambia makutano kwa mifano wala pasipo mifano hakuwaambia neno

2. Nitakifungua kinywa kinywa changu kwa mifano nitayatamka yaliyositiriwa tangu awali


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa