Ingia / Jisajili

Ee Mungu Unirehemu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 110 | Umetazamwa mara 188

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu unirehemu sawa sawa na fadhili zako kiasi cha wingi wa rehema zako uyafute makosa yangu uyafute makosa makosa yangu X2

Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhambi zangu unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhambi zangu X2

1. Maana nimejua mimi makosa yangu na dhambi yangu i mbele yangu daima na dhambi yangu i mbele yangu daima

2. Nimekutenda dhambi wewe peke yako na kufanya maovu mbele za macho yako na kufanya maovu mbele za macho yako

3. Tazama wapendezwa na kweli iliyomo moyoni nawe utanijulisha hekima kwa siri nawe utanijulisha hekima kwa siri

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa