Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 2
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka B
Wewe Bwana usiniache Mungu wangu usijitenge nami ufanye haraka kunisaidia Ee Bwana wokovu wangu
1. Maana dhambi zangu zimenifunikiza kichwa kama mzigo mzito zimenielemea mno, jeraha zangu zinanuka zimeoza kwasababu ya Upumbavu wangu.
2. Nimedhoofika na kuchubuka sana, nimeugua kwa fadhaa ya moyo wangu