Ingia / Jisajili

Wewe Bwana U Mwema

Mtunzi: Emmanuel J. Kafumu
> Mfahamu Zaidi Emmanuel J. Kafumu
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel J. Kafumu

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwaka wa Huruma ya Mungu | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Emmanuel Kafumu

Umepakuliwa mara 226 | Umetazamwa mara 985

Download Nota
Maneno ya wimbo

Wewe Bwana umekuwa tayari kusamehe, ee Bwana, umekuwa tayari Bwana kusamehe. x2

Mashari

1. Bwana yasikilize, uyasikilize maombi yangu, uisikilize sauti sauti ya dua zangu.

2. Na mataifa yote uliowafanya watakuja kukusujudia wewe kukusujudia wewe Bwana.

3. Lakini wewe Bwana, u Mungu wa rehema na neema, mvumilivu na ni mwingi wa fadhili na kweli.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa