Ingia / Jisajili

Ujana Unapita

Mtunzi: Alvin Marie
> Mfahamu Zaidi Alvin Marie
> Tazama Nyimbo nyingine za Alvin Marie

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Alvin Marie

Umepakuliwa mara 248 | Umetazamwa mara 264

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ujana ni kama moshi, unapita, hautarudi Maisha ya mwanadamu ni kama moshi upitao, na nguvu za ujana ni kama umande wa asubuhi. Kijana (daima) tembea na Mungu, udumu katika imani, (zishike kanuni za Mungu, zifuate daima. Mkumbuke kama bado una nguvu (naye) atakukumbuka

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa