Mtunzi: Fred B. Kituyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Fred B. Kituyi
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: FRED KITUYI
Umepakuliwa mara 1,502 | Umetazamwa mara 6,337
Download Nota Download MidiUJE ROHO MTAKATIFU – F.B. KITUYI
Kiitikio:
Uje Roho Mtakatifu Roho uje:
(Njoo mwanga, njoo mfariji wetu mwema. x2)
1. Washa nyoyo zetu – (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
U rafiki mwema – (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
2. Baba wa maskini –(njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
Mwanga wa mioyo – (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
3. Tuangaze sisi – (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
Tia nuru kwetu – (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
4. Tupe paji zako – (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
Osha machafuko – (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
5. Ponya majeraha – (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)
Zifukuze pepo - (njoo, njoo, njoo kwetu njoo,
Mungu Roho njoo kwetu njoo. x2)