Ingia / Jisajili

Ulimi Wangu Na Ugandamane

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 326 | Umetazamwa mara 431

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ulimi wangu na ugandamane na kaa kaa la kinywa changu (nisipokukumbuka) nisipokukumbuka nisipokukumbuka X2

1. Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi tukalia tulipoikumbuka Sayuni

2. Katika miti iliyo katikati yake tulivitundika vinubi vyetu

3. Maana huko waliotuchukua mateka walitaka tuwaimbie tuwaimbie

Maoni - Toa Maoni

Tumaini Elibariki Nov 23, 2024
Napongeza mpangilia wa shairi la huu wimbo. Ni vema kuwela audio tusikie melodi

Toa Maoni yako hapa