Ingia / Jisajili

Uzipokee zawadi zetu

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 543 | Umetazamwa mara 1,571

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UZIPOKEE ZAWADI ZETU Chorus: Uzipokee Bwana zawadi zetu, uzibariki na kuzitakasa, twakutolea mikononi mwa Padri/ 2. 1. Mkate na divai tunaleta kwako, tunakuomba uvipokee, vipate kugeuzwa na kutufaa, tunakuomba uvipokee. 2.Nazo fedha zetu tunaleta kwako, tunakuomba uzipokee, japo ni kidogo tunaleta kwako, tunakuomba uzipokee. 3.Kazi za mikono yetu tunaleta, tunakuomba uzipokee, Shida zetu zote tunaleta kwako, tunakuomba uzipokee.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa