Ingia / Jisajili

Vizazi Vyote Wataniita Mbarikiwa

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 213 | Umetazamwa mara 493

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Vizazi vyote wataniita mbarikiwa mbarikiwa kwa kuwa mwenye nguvu amenitendea makuu X2

1. Mariamu akasema moyo wangu wamwadhimisha Bwana na roho yangu imemfurahia Mungu Mwokozi wangu

2. Kwa kuwa ameutazama unyonge wa mjakazi wake tokea sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa