Ingia / Jisajili

Bwana asema atakayekunywa

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 185 | Umetazamwa mara 530

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujikia uzima uzima wa milele X2

  1. Yesu akamwambia anywaye maji hayo ataona kiu tena lakini atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi  hataona kiu milele
  2. Yule mwanamke akamwambia Bwana unipe maji hayo nisione kiu wala nisije hapa kuteka

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa