Ingia / Jisajili

Bwana Atatoa Kilicho Chema

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Majilio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 24

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Majilio Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Majilio Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 1 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana atatoa kilicho chema kilicho chema na nchi yetu itatoa mazao yake X2

1. Fadhili na kweli zitakutana haki na amani zitakumbatiana

2. Kweli itachipuka katika nchi haki itachungulia kutoka mbinguni

3. Haki itakwenda mbele zake na kuzitayarishia hatua zake mapito

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa