Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka | Ubatizo
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 1,813 | Umetazamwa mara 4,941
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C
Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa X2
Yatamanini maziwa yasiyoghoshiwa (ili) kwa hayo mpate kuukulia wokovu siku zote, yatamanini maziwa yasiyoghoshiwa (ili) kwa hayo mpate kuukulia wokovu Aleluya.
1. Pokeeni furaha ya utukufu wenu mshukuruni Mungu aliyewaita kwa ufalme wake wa mbinguni
2. Ahimidiwe Mungu Baba wa Bwana Yesu Kristo ambaye alituzaa mara ya pili ili tupate tumaini kwa kufufuka kwake Kristo
3. Tupate na urithi usioharibika, usio na uchafu, usionyauka uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu