Ingia / Jisajili

Ee Bwana Uyafute Makosa Yangu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 53 | Umetazamwa mara 77

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana uyafute makosa uyafute makosa makosa yangu X2

1. Ee Mungu unirehemu sawa sawa na fadhili zako

2. Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhambi zangu

3. Maana nimejua mimi makosa yangu na dhambi yangu i mbele yangu daima

4. Nimekutenda dhambi wewe peke yako na kufanya maovu mbele za macho yako

5. Uturehemu Ee Bwana kwa kuwa tumetenda dhambi


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa