Ingia / Jisajili

Bwana Awabariki

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 835 | Umetazamwa mara 2,839

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana awabariki Bwana awabariki siku zote za maisha yenu X2

1. Hongera wanaharusi kwa jufunga ndoa leo mmeunganishwa kuwa mwili mmoja

2. Mungu awajalie furaha nayo amani na neema tele tele maishani mwenu

3. Watoto mtao[ata muwalee vizuri wawe waadilifu wawe wacha Mungu

4. Palipo na upendo na mapendo wa kweli hapo ndipo hapo ndipo naye Mungu yupo

5. Tunzeni kiapo chenu mpendane siku zote hadi kifo kitakapowatenganisha

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa