Ingia / Jisajili

Sikiliza Ni Mpendwa Wangu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 364 | Umetazamwa mara 1,050

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sikiliza ni mpendwa wangu mpendwa wangu tazama anakuja akiruka milimani akichachawa vilimani X2

Mpendwa wangu ni kama paa au ayala tazama amesimama nyuma ya ukuta wetu akichungulia dirishani akitazama kimiani X2

1. Ondoka mpenzi wangu mzuri wangu uje zako maana tazama kaskazi imepita masika imekwisha imekwenda zake maua yatokea katika nchi wakati wa kupelea umefika na sauti ya mwigo husikiwa kwetu mtini wapevusha tini zake na mizabibu inachanua inatoa harufu yake nzuri

2. Ondoka mpenzi wangu mzuri wangu uje zako hua wangu mafichoni mwa jabali katika sitara za magenge nitazame uso wako nisikie sauti yako maana sauti yako ni tamu na uso wako ni mzuri

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa