Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 652 | Umetazamwa mara 2,551
Download Nota Download MidiWatu wote wakutukuze Ee Mungu mataifa yote yakusifu, Mataifa yafurahi na kushangilia maana wawaukumu watu kwa haki (nakuyaongoza mataifa ya dunia watu wote wakutukuze Ee Mungu mataifa yakusifu x 2 )
Mashairi:
1. N chi imetoa mazao yake Mungu wetu ametubariki , Mungu ametujalia Baraka zake watu wote duniani tumche yeye.
2. Utuelekezee uso wema dunia yote itambue, mwongozo wako mataifa yote ya jue nguvu yako ilivyo kuu sana