Ingia / Jisajili

WEWE BWANA NDIWE MTAKATIFU WA MUNGU Zab 19

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 875 | Umetazamwa mara 2,153

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Wewe Bwana ndiwe mtakatifu wa Mungu, wewe Bwana ndiwe mtakatifu wa Mungu ndiwe mtakatifu wa Mungu ndiwe mtakatifu wa Mungu. 1.Sheria ya Bwana ni kamilifu, huiburudisha nafsi, ushuuda wa Bwana ni amini, humtia mjinga hekima. 2.Maagizo ya Bwana ni ya adili hufurahisha moyo, amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru. 3.Kicho cha Bwana ni kitakatifu, kinadumu milele, hukumu za Bwana ni kweli, zina haki kabisa. 4.Ni za kutamanika kuliko dhahabu, kuliko wingi wa dhahabu safi, nazo ni tamu kuliko asali, kuliko sega la asali.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa